MSHIKEMSHIKE VIWANJANI – AZAM TV 14/04/2020
HAKI NA WAJIBU WA SHABIKI: Hapa utawasikia Antonio Nugaz wa Yanga, Hashim Mbaga wa Simba, Juma Abdul wa Yanga, shabiki wa Simba, Erick Zomboko ‘Dizo One’ na Masau Bwire ambaye ametoa darasa zito kuhusu haki na wajibu wa mashabiki.
Pia ipo taarifa kubwa kuhusu Makamu Mwenyekit wa Yanga Fredrick Mwakalebela kuomba radhi kuhusu kaui yake ya kuzungumza na Clatous Chama.
Mtangazaji ni Fatma Abdallah Chikawe akiwa na wachambuzi Gift Macha na James Samwel.
Tazama Vodacom Premier League, taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa:
► https://bit.ly/2wB6zmR
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/
►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/
►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz
►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz
►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz